Zuckerberg: Nisingekuwa mmiliki wa Facebook ningeajiriwa na Microsoft

Unafahamu kuwa mmiliki wa mtandao wa kijamii maarufu zaidi kuliko yote duniani wa Facebook aitwaye Mark  Zuckerberg angejiunga kama mwajiriwa wa kampuni ya Microsoft kama asingekuwa na Facebook?

“Huenda ningechukua kazi ya uinjinia na muda wote nimekuwa na heshima kubwa kwa Microsoft,” alisema. “Watu wengi kutoka Harvard walienda kufanya kazi hapo.”

Mjasiriamali huyo na mchawi wa komputa amekubali kuwa Facebook imefanikiwa kutokana na timing ya kuanzishwa kwake.  Watu walikuwa wameshaanza kuwa na tabia ya kushatre vitu online kwenye sites Wikipedia.