Young Squage-''Who's At The Door''

First of all let's Congrats Stockholm's Swag Bwoys ''Young Squage'' to sign with SONY MUSIC! Hongera sanaa! Najua kutakuwa kuna Watanzania wengi na watu kibao Afrika ambao hawatambui kuwa Sweden ni nchi ya tatu duniani baada ya Marekani na Uingereza katika Professional music production! Wasanii wakubwa sana kutoka kwenye Recording Label kubwa nchini Marekani,Uingereza na Canada mara nyingi wanakwenda Sweden kufanya production na  music producers wa huko. Wiki mbili zilizopita kundi jipya kabisa na changa la muziki wa Pop/House ''YOUNG SQUAGE'' wameweza kupata deal/sign na SONY MUSIC. Hili kundi lipo jijini Stockholm na ni baada ya ku-drop Video yao ya Kwanza mwaka huu ''Let the beat drop'' iliyofanywa na Director wa Video ya JanB ''Duncan Mukada''. Machalii video yao ikapendwa na juzi kati wamekula deal na Sony na kuwaacha watu midomo wazi bila kuamini. Yeah, it's how you work it, when you work hard nothing is impossible cuz people who see it will tell! 

Wiki hii wamedondosha track yao mpya pamoja na video ya kitaa ila kali sanaaa '' Who's At The Door'' .Check out their new music video here and enjoy good music from the bwoyss cuz they got swag in the building, so, put your hands in the air: https://www.youtube.com/watch?v=WNpOyNbLRiQ&list=UU2tOfqvdnD1KPOKyUxxbc0Q&index=1&feature=plcp //JanB Multimedia