Wakazi awaunga mkono dada zake waliojiunga na CHADEMA
Rapper Wakazi Wasira aishiye nchini Marekani, amewaunga mkono dada zake Esther na Lilian Wasira walioamua kuchukua kadi za uanachama wa CHADEMA juzi. Kupitia Facebook Wakazi amesema:
Mimi ninawaunga Mkono wadogo zangu Lilian na Esther Wasira kwa kuamua kuchukua Kadi za Uanachama wa CHADEMA. Tanzania ni Nchi huru na kila mtu ana uhuru wa ku make decisions ambazo anaona zina manufaa kwake. ILA inabidi niwakumbushe nyie WAPUMBAVU mnaoongea UPUUZI, CHADEMA Kimeanzishwa na (including others) BOB MAKANI, EDWIN MTEI, MZEE NGWILULUPI na GEORGE B. WASSIRA, ambaye ni Baba Mzazi wa ESTHER, LILY na Wakazi. So what they did is basically follow "Dreams of their Father" na sio Kumuweka Baba Yao Mdogo STEVEN WASIRA kwenye kitimoto au Kumuaibisha. so all ya'll mnaosema sijui usnitch sijui vitu vitu gani, STFU and get yaselves some bidness!!!! One
