Usaili wa Maisha Plus 2012 waanza

 

Awamu ya kwanza  ya zoezi la kwasaka vijana watakaoweza kumudu mchakamchaka wa shindano la Maisha Plus, imeanza jana (Agosti 27) huko Bagamoyo mkoani Pwani.

Leo shindano hilo litafanya usaili katika wilaya ya Lushoto ambako zoezi hili litafanyika katika maeneo ya mjini mwa wilaya hiyo.

Baada ya hapo ratiba za audition zitaendelea kama ifuatavyo;

Agosti 29- Kilimanjaro/ Sanya juu

Usaili utafanyika katika mji wa Bomang’ombe

Agosti 30- Arusha/ Ngorongoro

Usaili utafanyika Karatu

Agosti 31 – Singida

Usaili utafanyika Singida Mjini

Septemba 1- Iramba

Usaili utafanyika Iramba Mjini

Septemba 2- Dodoma

Usaili utafanyika Kondoa Mjini