
TMK Wanaume Halisi yafiwa na msanii wake
Msanii wa kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Naturem Baraka Masale Sekela aka BK amefariki dunia leo asubuhi.
Kwa mujibu wa blog ya Sam Misago wa East Africa Radio, taarifa hizo zimetolewa na member wa kundi Rich One
Amesema sababu za kifo cha BK ni matatizo ya tumbo na ini yalitokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.