Tamaduni Muzik kuwasha moto leo CCM Kirumba
Ule muungano wa marapper wa Tamaduni Muziki leo unatarajia kuangusha fire jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
"Leo ndio terehe 30th Sep 2012,Nikki Mbishi BabaMalcom,One,Stereo,Songa,Ghéttò Ambåssådór Tz,Azma Mponda,Kad Go na TAMADUNI MUZIK wote tutakua pande za CCM KIRUMBA kukinukisha kuanzia saa 5 asubuhi mpaka mwisho,Tsh 3000/= getini....#VITENDO DHIDI YA MANENO#," wameandika.
Wasanii hao wanatarajia kuzindula mixtape zao ambazo tayari zilishazinduliwa jijini Dar es Salaam.
