Prezzo alipanga kumvisha pete Goldie siku aliyofariki!

Ni kweli Prezzo alichukua pipa hadi nchini Nigeria Alhamis iliyopita na inasemekana alipofika alikuwa akijiuliza maswali kwanini Goldie haendi kumpokea kabla hajafahamu kuwa amefariki.

Inasemekana kuwa mfalme huyo wa pamba alikuwa amepanga kumvisha pete siku hiyo wapendanao.

Baadhi ya mitandao imedai kuwa kuna vyanzo vyenye picha ya pete hiyo. Hata hivyo kama mambo yangeenda kama alivyotarajia hatujui mume wake Goldie, Andrew Harvey iwapo angeibuka kama alivyofanya sasa ama lah!