Picha za Behind the scenes ya video ijayo ya Joh Makini ‘Sijutii’

Wiki hii Joh Makini alikuwa hometone Arusha kufanya video ya ngoma yake mpya iitwayo Sijutii. Director wa video hiyo ni Nisher. Nisher ni mtayarishaji wa muziki, muimbaji, muongozaji wa video na majukumu mengine mengi yasiyo na idadi ambaye amejipatia umaarufu jijini Arusha kwa uwezo wake. Nisher ni miongoni mwa vipaji vipya vya kuangalia Tanzania.

Tazama picha zake.