Picha: Ulishaiskia ‘No Pants Day” maelfu duniani watembea na vichupi tu kuiadhimisha

Mamia kwa maelfu ya  watu katika majiji 50 duniani kote jana  wametembea na vichupi tu kuadhimisha siku ya No Pants.

Vijana, wazee, wanaume, wanawake na watoto wameadhimisha siku hiyo kwa kuvua suruali na sketi zao kutembea barabarani ama kwenye vyombo vya usafiri.

No Pants Day huadhimishwa mara moja kwa mwaka.