Picha: Rihanna asherehekea birthday yake ubavuni mwa Chris Brown huko Hawaii

Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Rihanna ambapo alikuwa anatimiza umri wa miaka 25. Wapenzi hao waliorudiana siku za hivi karibuni waliamua kuitumia siku hiyo kula upepo mwanana wa bahari kwenye visiwa vya Hawaii.