Homepage > Nyama Choma Festival - 2 March 2013, Kijitonyama, Dar es Salaam
Nyama Choma Festival - 2 March 2013, Kijitonyama, Dar es Salaam
Kwa mara nyingine tena lile tamasha la Nyama Choma limewajia tena. Litafanyika March 2 kwenye viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Soma poster hiyo kwa taarifa zaidi.