Nician feat The Rocca-Addicted Hustler Music Video

Chipukizi wa Hip Hop Tanzania Nician atoa video yake mpya Addicted Hustler. Addicted Hustler ni Kichupa chake cha pili kufanya baada ya kazi yake ya kwanza HandBag. Wimbo huu kamshirikisha Ezden The Rocca ambae pia ni mwanaharakati wa Swahili Hip hop na mtangazaji wa kituo cha radio KISS FM nchini 255. Nician ni rapper wa kike anaekuja kwa kasi katika mziki wa Hip hop chini ya studio za BOKAZY ENT akiwa na mtayalishaji wa mziki Man dvd. Iangalie video hapa kisha share kwa ajili ya support: www.youtube.com/watch?v=q8kEseFkBa8 //JanB Multimedia