New track ManBatoo SHE NAH LEAVE
Pata brand new riddim toka kwa ManBatoo aka Rudbwai from Arachuga Kijenge juu,Reggae joint inakwenda kwa jina "She nah leave" ikiwa ni new years release juu ya "heart & soul riddim" na mixing pande za www.noizmekah.com. Bofya hapa kuisikiliza na kuipakua hii ngoma: www.hulkshare.com/uqm680188740/?force=1 //JanB Multimedia
