New Track HyperKid Feat Gnako

Chalii toka Pande za Moshi anayejiita HyperKid akiwa na Gnako the A city Finest Kankara katika pini la "Chapa Kazi" toka studio za Noizmekah kwa Defxtro,Hii ni Crunk Joint kwa fans wote wa muziki Tanzania na duniani, isikilize na kuidownload hii ngoma hapa: www.hulkshare.com/yxqzcic8koow/?force=1 //JanB Multimedia