New Music: Wizkid - Thank You

Mwanamuziki kipenzi cha wengi nchini Nigeria, Wizkid, ameamua kutoa wimbo wa shukrani kwa mashabiki wake barani kote Afrika kwa kumfikisha hapo alipo leo.

Download ama sikiliza wimbo huo hapa:

https://www.hulkshare.com/hr4tf0tax8g0