New Music: Dislimination - Today

Sikiliza na Download track mpya ya Dislimination inaitwa Today. Katika maelezo ya ngoma hiyo wameandika:

Happy New Year toka team dislimination pande za Arachuga moja sasa pata ku-download hii brand new clubtune inayokwenda kwa jina "Today" toka kwa dCee & Slim Ft Banx" ikiwa ni 2013 Noizmekah/Grandmaster/Odonis release special kwa all partylovers & clubmaniacs Tz & Beyond. bofya hapa and enjoy Good music,for interviews/bookings contact 0717981192 or 0713933797 and follow us kupitia @dislimination.

https://www.hulkshare.com/4yy8gl7otb0g/?force=1