New Music-Badspenders

Wamerudi tena Vijana toka ChugaCity na brand new joint waloipa jina HighWay wakishirikiana vema na Wanadada wawili wakali wa kuimba toka Arusha ,May C wa "RudGals" pamoja na Keneh wa "Miles Away" Pata kusikiliza na kusupport wimbo mpya wa HighWay kwa kubofya hapa:  kwa mawasiliano zaidi na Badspenders checki nao kupitia nambari +255 759 737 673 au +255 655 737 673 na nyimbo ya "Wakati" toka Badspenders walioshirikiana na Banx bofya HAPA: www.hulkshare.com/48ls824ml7i8 //JanB Multimedia