
Msimamo wa Cpwaa kuhusu issue ya Lord Eyez
Hip Hop ya Tanzania husasan Arusha imeingiwa na doa kutokana na habari za Lord Eyez kudaiwa kuhusika na wizi wa spea za gari la Ommy Dimpoz. Kila msanii ana mtazamo wake na huu ndio msimamo wa Cpwaa:
“Whatever i heard or saw regarding Lord Eyes na Ommy Dimpoz is not cool at all! But i hope watayamaliza kiutu uzima na kiroho safi ili shughuli za kujenga Taifa na muziki wetu ziendelee. With that been said...i will keep Lord Eyes verse as it was in one of my upcoming songs which will be released on 1st November 2012 kwenye "Double releases". Lets not waste no talent! My apologies kama nimemkosea mtu! UNO!”
Mpaka sasa Lord Eyez bado yupo polisi.