MeccaCheka Feat Nakaaya-DARASA HURU

 

MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru" ikiwa ni hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufaham kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi,Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 Sikiliza na download darasa huru hapa: www.hulkshare.com/1lf8skbkh5kw/?force=1 //JanB Multimedia