MAMBO JAMBO SUMMER JAM

Mambo Jambo Summer Jam. All tourists who will be in Tanzania don't dare to miss this event in Arusha! Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!!Bounako,StopaRhymez,Fidovato,WEUSI,TaigaRaiz,Badtaito,J4c,MayC,Veejay,Gfaya,Meccacheka,EffectZero,Gentriez,YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe,sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili siku iyo tewnde sawa kibabeeeeeee!!!!endelea kusikiliza radio yako inayoaminika. Hii sio ya kukosaaa ladiezzz and gentlemennnn***93.0 Mambo Jambo Radio*** //JanB Multimedia