
Justin Bieber na R.Kelly kufanya collabo?
Picha inaongea zaidi ya maneno 1,000 lakini ikiwa ni picha ya Justin Bieber na R. Kelly, kunaweza kusiwe na maneno ya kutosha kuielezea.
Je! JB na Pied Piper wanaweza kuwa na mpango wa kupiga collabo? Ama kwenye picha hii Bieber alikuwa akipata maneno ya busara kutoka kwa legendary? Who knows?
Hii ni picha ambayo Kelly aliipost Instagram na kuandika: Hanging with the homie @justinbieber this weekend #legends.”