Going Crazy-PHD

Kwenye Ukurasa wake wa Facebook Msanii wa Bongo Flava na Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Hemedy Suleiman aka PHD amewaeleza mashabiki wake wa muziki kuhusu release ya wimbo wake mpya uitwao Going Crazy ambao umefanyika katika studio za B-Hits. "Mzigo huo kwa mashabiki wangu, lets do this" Amesema PHD.