Fiesta Dar: Hapa ndipo Rick Ross atakapokamua!

Ujio wa Rick Ross kwenye Fiesta ya Dar itakayofanyika October 6 ndio habari ya mjini. Huu ni muda ambao kila msanii anaogopa kuachia wimbo mpya kwakuwa attention ya kila shabiki wa muziki ipo kwenye show hiyo.

Show hiyo itafanyika kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es Salaam na maandalizi ya stage yanaendelea.

Patakuwa hapatoshi siku hiyo.