EFFECT ZERO
Hello world, today we introduce yall new FEMALE HIP HOP CREW ''EFFECT ZERO'' from ARUSHA a.k.a Arachuga in TANZANIA. Effect Zero is their first depute in the game and these two rappers Simaloi & Doraine doin it in English and Swahili! Kundi la wanadada wawili wanyamwezi toka arachuga wanadrop again na Anthem mpya "EffectZero" ikiwa ni ngoma ya hiphop inayowaelezea zaidi kama kundi kimziki,"This is a hiphop joint we recorded at noizmekah.com kwa DEF na we know y'all gonna love it" asema Simaloi. Kundi hili lenye maskani yake pande za Njiro Arusha linafanya muziki kwa lugha ya kiingereza zaidi na hii ni kwa lengo la kuteka soko la kimataifa zaidi na wapo mbioni kushoot video ya kwanza ambayo bado haijafahamika ni ya ngoma gani. "We really need y'all support kwa sana in promoting our music,we work hard for our fans" says Doraine. Listen this joint here and support new talents: https://soundcloud.com/janbkiwia/effect-zero-effect-zero-noiz //JanB Multimedia
