Coming Soon: CANNIBAL,JCB,MO PLUS,NAKAAYA,NIKI WA PILI,BONTA,GNAKO,JOES,THAI THA 1,TRICKY D.T,SLIM DEEZY - WAZI
Baada ya kuwa chuoni Nairobi kwa miaka mitatu,John B amerudi tena katika uandaaji wa muziki na kwa kuanzia ni release ya kolabo kubwa kabisa ikishirikisha wasanii toka Kenya,Tanzania,Zimbabwe na South Africa wakiwemo Cannibal(Kenya),JCB,Mo Plus,Nakaaya,Niki wa Pili,Bonta na G Nako.
Wengine nu Joes na Slim Deezy(North Dwellers)-Tanzania,Thai Tha1(Zimbabwe),Tricky D .T(South Africa).
Wimbo upo tayari kwa sasa harakati tu za kurelease ndo zinafanyika,''Nimeandaa mengi kwaajili ya industry,twende sawa katika kusongesha muziki wetu.
Mawasiliano ni @grandmastertz kwa twitter.
