
Chris Brown na P-Square kupiga show tofauti tarehe moja Kampala?
Kuna habari mbili za kuchanganya zinaendelea nchini Uganda kuhusu show ya P-Square na YA Chris Brown ambazo zote inasemekana zitafanyika December 21.
Kibaya zaidi ni kuwa show hizo hazina uhusiano wowote.
“Party animals can now safely clear their calendars for the P-Square concert on December 21. According to UK-based promoter Yvonne Wilson, the sensational duo will perform at Lugogo Cricket Oval and the venue fees have already been paid. More, our local curtain raisers have also been identified,” imeandikwa kwenye mtandao wa allafrica.com.
Mtandao huo huo pia hivi karibuni uliandika, “To all the Kampala chics who think that they are really hot, the ultimate test comes on December 21. Listen, and listen very carefully.Chris Brown is coming to Kampala. It is not for charity work, but to perform! Truth is that for you to get this Chris Brown have a second look, you must be hotter than Rihanna.”
Kama itakuwa hivyo basi show moja lazima ile za uso.