
BACK TO THE SUA EPISODE 9 (UJAMAA)- ARUSHA OCT 14
Kwa mara nyingine wapenzi wa Hip Hop wa jijini Arusha watakuwa na muda wa kufurahia na kushuhudia mambo mbalimbali yanayohusu utamaduni huo kwenye episode ya Ujamaa itakayofanyika Jumapili ya October 14.
“Episode inaitwa UJAMAA Kama kawaida kwenye Utamaduni wetu wa HIPHOPhakuna kiingilio.
Maalim Nash atakuwepo kuhamasisha Matumizi ya Kiswahili katika uandishi...Michoro,Mitindo Huru,Dj na MC...STRICTLY HIP HOP,” yamesema maelezo ya waandaaji.