Akon aahidi kumshauri Justin Bieber aache kuvuta bangi
Akon hanywi pombe na wala havuti, lakini ameshangazwa kugundua kuwa rafiki yake Justin Bieber kuwa anafanya vyote hivyo.
Mtandao wa TMZ ulimuuliza Akon anazichukuliaje taarifa za kuwa Justin ameanza kuvuta ganja na kusema: "I gotta talk to Justin," Akon said ... "I didn't know he was smoking."
"That's my little man ... hopefully, I'll make an impact."
Akon ana imani kuwa rafiki yake huyo mwenye miaka 18 na huenda akambadilisha.
