
Adam Kanyama & Mrap to Collabo?
Wasikie nakuwaona young Tanzanian rappers Adam Kanyama na Mrap wakizungumza kuhusu kufanya project pamoja. Mrap ni msanii chipukizi anayekuja kwa kasi na ambae kasign na B-Hits ya Hermy B na keshatoa ngoma kadhaa kama vile Tunamaintain na Destiny na kichupa chake kinatarajia kutoka ivi karibuni. Wakati Adam Kanyama ni msanii wa kimataifa wa kitanzania mwenye fan base kubwa sanaa anayefanya shughuli zake za muziki na masomo nchini Sweden na rapper mdogo wa miaka 17 kutokea Tanzania aliyeweza kushiriki katika mashindano makubwa ya X-Factor Sweden nakufika katika top ten.
Angalia kipande hiki cha video clip wakizungumza wote; www.youtube.com/watch?v=hxBjzGZFp6g&feature=youtu.be