A.Y on VOLT-ChannelOTV

Mambo vipi Tanzania, East Africa na Africa. Tanzania Rapper A.Y a.k.a mzee wa Commercial anaekimbiza na wimbo/video ya ''Party Zone'' na kuipeperusha vizuri Bendera ya 255-Tanzania katika level ya kimataifa. Leo atakuwa LIVE na ChannelOTV katika Kipindi cha VOLT, Time: 9pm CAT, Ila kama utaikosa iyo shooo, alhamis wiki hii 7pm CAT  na Jumapili 7pm CAT kipindi kitarudiwa. 

Support one of our true Tanzania talent. Watch ChannelOTV. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya CHANNEL O-TVhttps://channelo.dstv.com/2012/07/crispy-fresh-2/ //JanB Multimedia