YungOmega-Chafukwa na Roho (RaggaDancehall)
Mtoto wa RasOmega toka River camp soldiers,Sinoni Arusha anayejulikana kama YungOmega aka Party pipo anarelease single yake ya tatu sasa aloipa jina "Chafukwa na Roho" ikiwa ni exclusive joint kwaajili ya pipoz wanaostruggle.YungOmega ni mmojawapo kati ya Upcoming Concious RaggaDancehall artists wa kaskazini na joint limesukiwa pande za noizmekah kwa Defxtro.Listen this DOPE Swahili Dancehall here;Support by sharing and like: https://soundcloud.com/janbkiwia/yungomega-chafukwa-na-roho //JanB Multimedia
