Pipi Doreen ajifungua mtoto wa kiume

 

Msanii wa kike nchini Tanzania, Pipi Doreen, jana usiku amejifungua mtoto wa kiume.

Baada ya kufanikiwa kukileta kiumbe kipya duniani, hakusita kushare furaha yake hiyo na rafiki zake wa Facebook kwa kuandika: “14th of September 2012 is the happiest day of my life so far. . .wat a gorgeus;-

Kwa mujibu wa vyanzo jina la mtoto wake ni Kingstone.

Katika video yake aliyoitoa hivi karibuni ya wimbo wake Unapokuwa Mbali, Pipi aliamua kuonesha tumbo lake la ujauzito na ndipo wengi walipojua kuwa ni mama mtaratajiwa.

Hongera Mama Kingstone.